TCCA’s BBQ- Nyama Choma- July 4, 2023
Highbanks Metro Park 9644 Columbus Pike, Lewis Center
Tanzanian Columbus Community Association (TCCA)- Nyama Choma TCCA inapenda kukualika ujiunge nasi kwenye Nyama Choma ya Wanamfuko, familia na marafiki wa TCCA, itakayofanyika: Muda: Kuanzia saa nane adhuhuri (From 2:00 pm) Tarehe: Jumanne, Julai 4, 2023 (Siku ya Uhuru wa USA) Mahali: Northern Shelter, Highbanks Metro Park, 9644 Columbus Pike, Lewis Center, OH 43035. …………………………………………………………… […]